1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wachambuzi wazungumzia hatua ya polisi kijitenga na vurugu za kampeni, Kenya.

Hawa Bihoga25 Januari 2022

Baada ya jeshi la polisi nchini Kenya kutangaza kujitenga na vurugu kwenye mikutano ya kampeni ya kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu, Wachambuzi wa kiusalama wanasema jeshi hilo haliwezi kukimbia jukumu lake la kulinda usalama wa raia. Geogre Musamali, mchambuzi wa usalama kutoka Kenya alizungumza na mwenzetu Hawa Bihoga kuhusiana na hatua hiyo.

https://p.dw.com/p/463xL