1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wabunge waasi wa CHADEMA kuendelea kuhudumu kama wabunge

Deo Kaji Makomba
16 Mei 2022

Hatimaye suala la wabunge 19 wa viti maalumu waliovuliwa uanachama na chama cha siasa cha CHADEMA limezungumzwa bungeni hii leo huku spika wa bunge hilo Tulia Ackson akisema wabunge hao wataendelea na shughuli zao za kibunge. Isikilize ripoti yake Deo Makomba kutoka Dodoma.

https://p.dw.com/p/4BMMx