1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wabunge wa Kongo hawakushauriwa kuhusu kutumwa kwa majeshi ya Uganda

2 Desemba 2021

Jeshi la Uganda limesema vikosi vyake vilivyokwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kupigana na waasi wa Allied Democratic Forces, ADF, vitabaki huko hadi waasi hao watakapokuwa wameshindwa kabisa. Huko Kongo kwenyewe, mmoja wa wanaopinga jeshi la Uganda kuingia Kongo, ni Mbunge Juvenal Munubo ambaye Daniel Gakuba amemuuliza ikiwa bunge halikushariwa kabla ya vikosi hivyo vya kigeni kukaribishwa.

https://p.dw.com/p/43jGI