1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wabunge wa Chadema wakaidi agizo la chama

Jacob Safari Bomani5 Mei 2020

Baadhi ya wabunge wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA, wameendelea kuhudhuria vikao vya bunge kinyume na agizo la chama chao. Je, ni upi uamuzi wa chama kwa wabunge hao waliokaidi agizo?

https://p.dw.com/p/3bocb