1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

M23: Tunataka mazungumzo kwanza kabla ya kuondoka

Daniel Gakuba7 Desemba 2022

Waasi wa M23 wamekubali kwa mara ya kwanza kabisa kuweka silaha zao chini na kuondoka maeneo wanayodhibiti. Daniel Gakuba amezungumza na msemaji wa kijeshi wa kundi hilo Meja Willy Ngoma kuhusu uamuzi wao wa kuondoka katika maeneo wanayoyadhibiti mashariki mwa Kongo.

https://p.dw.com/p/4Kaip