1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waandishi wa habari Kenya wapinga ukatili wa polisi

24 Julai 2024

Waandishi wa habari wameandamana kote nchini Kenya kupinga ukandamizaji unaotokana na visa wanavyofanyiwa na maafisa wa usalama nchini humo na hasa wanapokuwa wakikusanya taarifa wakati wa maandamano. DW imezungumza na afisa kutoka Baraza la Waandishi wa Habari nchini humo, Victor Bwire aliyelaani hali hiyo.

https://p.dw.com/p/4iewq