1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Waandamanaji wadai mageuzi na haki Sudan

1 Julai 2020

Maelfu ya waandamanaji wamejitokeza nchini Sudan kuanzia Jumanne, wakidai mageuzi na pia hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya waliofanya mauaji 2019 dhidi ya waandamanaji waliopinga utawala wa rais aliyeng'olewa madarakani Omar al-Bashir.

https://p.dw.com/p/3ee12