1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya COVID -19 Afrika Mashariki

Josephat Charo
16 Mei 2020

Nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki ziko mbioni kukailiana na janga la virusi vya corona, kila nchi ikichukua hatua ambazo inaona zinaweza kusaidia kudhibiti kuenea kwa ugonjwa wa covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Je, ushirikiano ukoje katika mapambano dhidi ya corona Afrika Mashariki? Sikiliza kipindi cha Maoni na Josephat Charo.

https://p.dw.com/p/3cJQO