1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viswahili vya Zanzibar: Lahaja ya Kipemba

20 Juni 2024

Ingawa inafahamika wazi kuwa kinachoitwa Kiswahili Sanifu chimbuko lake ni visiwani Zanzibar, lakini ndani ya visiwa hivyo vya Bahari ya Hindi kuna ndimi nyengine nyingi za lugha hiyo. Mohammed Khelef anawatembelea baadhi ya watumiaji wa ndimi hizo kwenye kisiwa kikuu cha Unguja. Na hapa anazungumza na Bi Fatuma Abdallah mwenye asili ya kijiji cha Micheweni kaskazini mwa kisiwa cha Pemba.

https://p.dw.com/p/4hJnY