1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa kidini wahamasiaha raia dhidi ya Ebola

13 Septemba 2019

Viongozi wa kidini katika jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wameanzisha kampeni mpya ya kuwahamasisha raia dhidi ya ugonjwa wa Ebola. Kampeni hiyo imeafikiwa baada ya kikao cha siku mbili mjini Goma, ambamo viongozi hao waliahidi kuunga mkono juhudi za serikali za kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo hatari. Sikiliza ripoti ya Benjamin Kasembe.

https://p.dw.com/p/3PXCf