1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujumbe wa EAC nchini DRC warefushiwa muda hadi Septemba

John Juma1 Juni 2023

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekubali kurefusha muda wa vikosi vyao vya kulinda amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa muda wa miezi sita zaidi. Tunatizama hilo na mengine yanayofungamana na machafuko ya mashariki mwa Congo. DW imezungumza na Ali Mali, mchambuzi wa siasa za kikanda na kimataifa.

https://p.dw.com/p/4S3HL