1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa dini watoa mwito wa amani kuelekea uchaguzi

Wakhio Mbogho1 Agosti 2022

Siku saba kabla ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, tume ya uchaguzi nchini humo IEBC imepiga hatua nyingine kuelekea uchaguzi mkuu kwa kufungua vituo viwili vitakavyowezesha mawasiliano na maafisa wao, pamoja na umma. Hayo yanajiri huku viongozi wa dini wakitoa miito ya amani. Sikiliza ripoti ya Wakio Mbogho kutoka Nakuru.

https://p.dw.com/p/4Eygf