1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Afrika watoa wito wa ushirikiano katika mkutano wa UN

4 Oktoba 2018

Katika mkutano wa Hadhara Kuu ya Umoja wa Mataifa unaoendelea mjini New York Marekani, viongozi mbali mbali wa Afrika wameendelea kutoa hotuba zao kwa kuangazia ukuaji wa ushirikiano baina yao.

https://p.dw.com/p/35ycE