1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vincent Kompany kuteuliwa kuwa kocha wa Bayern Munich

27 Mei 2024

Vincent Kompany anatarajiwa kuteuliwa kuwa kocha wa miamba Bayern Munich baada ya makubaliano juu ya ada ya fidia na klabu yake ya sasa ya Burnley. Hata hivyo, uteuzi wake umezua maswali juu ya uwezo wa Kompany kuiongoza klabu yenye hadhi kubwa kama Bayern Munich kutokana na uzoefu mdogo alio nao katika ngazi ya kimataifa. Mtayarishaji wa kipindi cha michezo leo ni Babu Abdalla.

https://p.dw.com/p/4gLZe