1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Muziki watoa ajira kwa vijana Burundi japo kipato hamna

13 Januari 2023

Maskani ya Karibuni imemkaribisha mgeni wa wiki Miraculo Lupo mwanamuziki wa kizazi kipya nchini Burundi anasema kipato katika muziki hakiridhishi ingawa muziki unatoa ajira na vijana wengi wamejitosa kwenye muziki.Kadhalika muziki ni sekta iliyotawaliwa na watu ambao hawajasomea fani hiyo-Jiunge na Saumu Mwasimba kwenye burudani la karibuni

https://p.dw.com/p/4MA6y