1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana washabikia Chama cha Wanaume Bahili

16 Februari 2021

Kwenye mitandao ya kijami kulivuma picha za vitu vinavyofanana na vitambulisho, ambavyo vina picha ya mtu, na maelezo kumhusu. Kitambulisho hicho kimeandikwa Stingy Men Association yaani Chama cha Wanaume Bahili. Nini chanzo cha vuguvugu hili ambalo lilikuwa limeiteka kabisa mitandao ya kijamii na kuibua mijadala miongoni mwa vijana.

https://p.dw.com/p/3pQ8b