Vijana walichangamia fursa za kujiimarisah kiuchumi katika maonyesho ya biashara ya saba saba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mwandishi wetu wa Shinyanga, Veronica Natalis, alikaa na kuzungumza na baadhi ya vijana.
https://p.dw.com/p/1JVYW
Picha: DW/V. Natalis
Matangazo
[No title]
Picha: DW/V. Natalis
Watu wengi walijitokeza katika maonyesho ya mwaka huu.
Picha: DW/V. Natalis
Bidhaa kama hizi zilionyeshwa katika vibanda mbalimbali katika maonyesho hayo.