1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanaoishi na maambukizi ya VVU, Arusha

13 Novemba 2020

Takwimu za maambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini Tanzania zinawataja vijana walio na umri wa kati ya miaka 14 hadi 25 kuwa ni kundi la watu waliombukizwa kwa kiwango cha juu. Mpaka sasa watu wanaoishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi nchini Tanzania wanafikia milioni 1.6.

https://p.dw.com/p/3lFT9