1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wana ujuzi wa kutosha katika ulimwengu wa teknolojia?

Sylvia Mwehozi
26 Februari 2020

Je vijana Afrika wanao ujuzi wa kutosha kuweza kukabiliana na soko la ajira hasa katika maendeleo ya sayansi na teknolojia? Na serikali zina mipango ya kutosha kuwekeza kwenye ujuzi wa vijana kuendana na mabadiliko hayo? Msikilize Naibu waziri anayehusika na masuala ya vijana kutoka Tanzania, Anthony Mavunde.

https://p.dw.com/p/3YRcE