1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wahimizwa kudumisha amani kuelekea uchaguzi Kenya

3 Agosti 2022

Sekretarieti ya kitaifa inayoshughulikia masuala ya amani nchini Kenya imekutana na makundi ya vijana na wanawake mjini Mombasa kujadili umuhimu wao kusaidia kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Agosti 9, 2022. Kongamano hilo limefanywa siku chache baada ya ukosefu wa usalama kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya mjini Mombasa. Isikilize ripoti ya Halima Gongo.

https://p.dw.com/p/4F4pD