1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Mombasa wahamasishwa amani wakati wa uchaguzi

Halima Gongo13 Juni 2022

Baraza la waumini wa dini mbalimbali nchini Kenya IRCK linafanya kampeni ya kuwaelimisha vijana wa eneo la Pwani ya Kenya kudumisha amani wakati wa uchaguzi. Vijana thelathini kutoka kaunti kumi tayari wamepokea mafunzo kuhusu sheria ya uchaguzi, haki zao na jinsi na mahali pa kuripoti makosa ya ghasia za uchaguzi. Mwenzetu Halima Gongo aliandaa taarifa hii. Sikiliza.

https://p.dw.com/p/4Cdft