1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jane Nyingi
1 Juni 2017

Je, mchezo wa kamari unajenga jamii ya vijana wasioweza kulitegemea jasho lao? Ni mchezo ulioshika kasi katika mataifa mengi barani Afrika, lakini ni wa bahati na sibu. Kijana anaweza kupata au anaweza kupoteza kila kitu. Wasikilize vijana wa Kiafrika wakilizungumzia hilo, ikiwa ni pamoja na walioathirika na mchezo huo.

https://p.dw.com/p/2dxiu