1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Kiafrika kukimbilia ughaibuni kutafuta fursa bora

Tatu Karema | Shisia Wasilwa
26 Julai 2023

Utafiti uliofanyika katika nchi 15 ikiwa ni pamoja na Kenya, Uganda, na Rwanda unaonyesha kuwa zaidi ya nusu ya vijana Waafrika wataondoka nchi zao katika miaka mitatu ijayo kutafuta fursa bora za kazi na elimu, ambapo asilimia 27 kati yao hawana nia ya kurudi kamwe. Sikiliza kipindi cha Makala yetu leo kama kilivyotayarishwa na Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/4UPdU