1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wa Afrika Mashariki wajiajiri Rwanda

Karemera Sylivanus4 Januari 2013

Wakati Jumuiya ya Afrika Mashariki ikizidi kutanuka na kuimarika kwenye kiwango cha viongozi wa kisiasa wa nchi wanachama, kwa upande wa wananchi wa kawaida nako kumeanza kujitokeza dalili za kuimarisha mahusiano hayo.

https://p.dw.com/p/17CwF

Katika makala hii, Sylvanus Karemera anawafuatilia vijana kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika ya Mashariki ambao wameamua kuelekea Kigali, Rwanda, kujitafutia ajira na baadhi yao wakiwa wameanza kufanikiwa kimaisha.