1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Vijana Tugutuke: Vijana wenye ulemavu wafunzwa uongozi

Salma Said/ MMT11 Agosti 2023

Majadiliano ya Vijana Tugutuke wiki hii yanajumuisha sauti za vijana wa kike wenye ulemavu waliopatiwa mafunzo ya uongozi huko Zanzibar. Salma Said ndiyo ameketi nao chini kuzungumzia faida za mafunzo hayo kwenye maisha na ndoto zao.

https://p.dw.com/p/4V4l8