1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke: Vijana wanaomaliza Stashahada ya Kilimo

Deo Kaji Makomba
2 Septemba 2022

Makala ya Vijana Tugutuke wiki hii imewakusanya mezani vijana wanaomaliza stashahada ya kilimo huko Dodoma, Tanzania. Deo Kaji Makomba ndiyo anajadiliana nao jinsi walivyojipanga kutumia ujuzi huo walioupata kuendeleza sekta ya kilimo.

https://p.dw.com/p/4GMVg