1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Vijana Tugutuke: Kwa nini wanafunzi wanaacha shule?

Salma Mkalibala (HON)12 Septemba 2023

Katika makala ya Vijana Tugutuke utawasikia vijana wenyewe wakiangazia suala la kuacha shule. Kwa nini kunakuwepo na changamoto hii na nini kifanyike kulidhibit? Ungana nasi hapa kusikiliza zaidi.

https://p.dw.com/p/4WCwA