1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana Tugutuke: Harakati za vijana wa kisiwa cha Lamu

Fathiya Omar/MMT17 Desemba 2021

Makala ya Vijana Tugutuke imewaleta mezani vijana wa Lamu Youth Alliance kujadili fursa na changamoto katika maisha ya ujana na jinsi ya kujikwamua. Fathiya Omar ndiye mwenyekiti wa mjadala.

https://p.dw.com/p/44SWl