1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
BiasharaNigeria

Vijana Nigeria wajiingiza kwenye biashara ya 'Soko la Fedha'

30 Machi 2023

Vijana waliojiingiza katika biashara ya soko la fedha nchini Nigeria wanajifunza mbinu zinazohitajika kufaidika kwenye sekta hiyo na kwa haraka. VijanaMubashara 77Asilimia inaangazia vipi mtindo huo wa biashara usio wa kawaida unatoa matumaini kwa vijana wa Nigeria?

https://p.dw.com/p/4PW1v