1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na Mitindo inayoibuka

Hawa Bihoga5 Mei 2022

Vjana wamekuwa wabunifu katika mitindo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na mavazi na hata mitindo ya nywele, hoja hapa si kuibua mitindo na kupendeza tu, bali wanaweza kujipatia ajira na kuajiri watu wengine. fuatilia makala hii ya vijana Mchakamchaka Hawa Bihoga akizungumza na vijana na kumuonesha namna mitindo inavyowapa ajira.

https://p.dw.com/p/4AsOa