1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana na itikadi kali, kulikoni?

14 Septemba 2018

Kwenye makala ya Vijana Tugutuke, Fathiya Omar amekutana na vijana wa mji wa Mombasa, ili kujadili kuhusu suala tete linalotishia amani katika eneo hilo la itikadi kali. Anajadiliana na vijana kwa kuwa wao ni miongoni mwa waathirika wakubwa katika eneo hilo. Wasikilize hapa.

https://p.dw.com/p/34sQz