1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Vijana Mubashara: Sababu zinazokufanya usifikie malengo yako

29 Januari 2024

Vijana wengi wana malengo makubwa maishani japo wakati mwingine, wanashindwa kuyatimiza malengo hayo. Makala ya Vijana Mubashara leo inaangazia juu ya sababu ambazo zinakufanya wewe kijana kutozifikia ndoto zako. Nahodha wako ni Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/4bnQd