1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Mitandao ya kijamii inaweza kuleta mageuzi ya siasa Afrika?

15 Julai 2024

Makala ya Vijana Mchaka Mchaka inamulika vuguvugu kupitia mitandao ya kijamii lililoitikisa serikali ya Kenya na kuuliza iwapo mitandao ya kijamii barani Afrika imefikia hadhi ya kuwa chombo cha mageuzi ya kisiasa badala ya kuwa jukwaa la tambo, fahari, mitindo, udaku na vibweka. Mtayarishaji ni Rashid Chilumba.

https://p.dw.com/p/4iJJl