1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana katika siasa Kenya

Alfred Kiti20 Juni 2016

Kumekuwa na maandamano ya kila wiki nchini Kenya kupinga tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu ujao. Vijawa wengi wanahusishwa katika maandamano hayo. Vijana Tugutuke inaangazia kwa kiasi gani vijana wamehusishwa katika suala la siasa nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/1J9s5