1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vigogo wa soka duniani wafutiwa mashitaka ya rushwa

Hawa Bihoga8 Julai 2022

Rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter na nguli wa soka wa Ufaransa Michel Platini wameondolewa mashtaka ya rushwa yaliokuwa yanawakabili na mahakama. Kesi dhidi ya viongozi hao wawili maarufu katika ulimwengu wa kandanda duniani na Ulaya ilichafua kabisa taswira ya FIFA na UEFA. Je wachambuzi wa soka wanautizama vipi uamuzi wa mahakama?

https://p.dw.com/p/4Dqcv