1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzoefu wa Mtanzania alieitoroka vita Ukraine

7 Machi 2022

Msabbah Salumu Msabbah ni mwanafunzi wa Kitanzania anaesoma chuo kikuu cha Sumy mashariki mwa Ukraine ambaye amefanikiwa kutoka nchini humo kwa njia zake mwenyewe na kuwasili nchini Hungary. Anazungumza na Jacob Safari kuhusu uzoefu wake.

https://p.dw.com/p/487RG