1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uzazi wa kubebewa mimba umekuwa biashara Nigeria

Yusra Buwayhid
11 Januari 2019

Hata mwanamke akiwa na matatizo yanayomzuia kubeba mimba, bado familia inaweza kupata mtoto kwa kubebewa mimba na mwanamke mwengine. Nchini Nigeria njia hiyo ya kisayansi imeanza kuwa biashara, licha ya kukemewa na viongozi wa kidni.

https://p.dw.com/p/3BQ39