1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uwindaji haramu wa tembo na faru

20 Julai 2022

Licha ya marufuku ya kimataifa ya biashara haramu ya wanyama pori tembo na faru wanaendelea kuuwawa katika kiwango cha kutisha na kuwa wahanga wa ujangili. Utafiti mpya wa jarida la Nature Human Behaviour,umesema kuna makundi kama matatu makubwa ya uhalifu yamekuwa yakihusika na uhalifu wa wanyama pori nje ya Afrika. Sikiliza Mtu na mazingira na Alex Mchomvu.

https://p.dw.com/p/4EOiE