1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uvamizi wa wanayamapori katika makazi ya binadamu

27 Julai 2020

Matukio ya mizozo kati ya wanadamu na wanyamapori yanatokea mara nyingi katika jamii zinazosihi karibu na mbuga za wanayama. Mbiu ya Mnyonge inaangazia malalamiko ya wanajamii walioathiriwa na tatizo hilo nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/3fxjF
Afrika Kenia Wildwechsel
Picha: picture-alliance/dpa

Matukio ya mizozo kati ya wanadamu na wanyamapori yanatokea mara nyingi katika jamii zinazosihi karibu na mbuga za wanayama.

Wakati mwengine mavamizi  hayo yanasababisha vifo vya watu na mifugo pamoja na uharibifu wa mali na mashamba.

Kufuatia malalamiko mengi ya wanajamii, kumekuwa kukitumika mikakati ya kitamaduni kama vile kuzingira mipilipili pamoja na kuweka mizinga ya nyuki inayowakimbiza wanyamapori hao. Mbali na hayo, kuna njia nyinginemuafaka za kiteknolojia zilizoanza kutumika nchini Kenya.

Mbio ya Mnyonge inaangazia tatizo hilo, pamoja na malalamiko ya wanajamii.