1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uturuki yailalamikia Marekani kuporomoka kwa sarafu yake

13 Agosti 2018

Uturuki imesema Marekani haitofanikisha chochote kwa kuiwekea mbinyo, na kuitaka nchi hiyo kuheshimu uhusiano wake na Uturuki kwa misingi ya urafiki wao wa jadi na ushirika wa NATO.

https://p.dw.com/p/335PF