1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uteuzi wa wakuu wa wilaya wazua minon'gono Tanzania

Sudi Mnette21 Juni 2021

Miongoni mwa mambo ambayo yanaendelea kujadiliwa sasa nchini Tanzania ni hatua ya hivi karibuni ya Rais Samia Suluhu wa taifa hilo kuwateua wakuu wa wilaya wapatao 146, wakiwemo wapya 59 na wa zamani ni 83. Hatua hiyo inafanya idadi ya wanawake wakuu wa wilaya kufikia asilimia 31.6. Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za Tanzania, mwandishi wa habari wa muda mrefu Saidi Nguba.

https://p.dw.com/p/3vIBi