1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utawala wa Magufuli na uchumi wa Tanzania

Saumu Njama Athuman17 Machi 2022

Mwaka mmoja tangu alipofariki Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, hali ya uchumi ilikuaje katika utawala wake na ni kipi tofauti kimefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu? Sikiliza mahojiano ya Saumu Njama na mchambuzi wa masuala ya uchumi kutoka chuo kikuu cha Mzumbe Profesa Honnest Prosper Ngowi.

https://p.dw.com/p/48e4C