1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata wa uwekezaji bandarini Dar es Salaam watokana na nini?

Sudi Mnette29 Agosti 2023

Ungana nasi kwenye makala hii ya Kinagaubaga ambapo leo tunaangazia suala tete la uwekezaji wa bandari wa nchini Tanzania kupitia kampuni ya Dubai ya DP World. Sudi Mnette anazungumza na msemaji wa serikali Gerson Msigwa kuhusu hilo.

https://p.dw.com/p/4Vgcf