1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata kuhusu hakimiliki ya kazi za ubunifu

Bruce Amani Alakonya28 Septemba 2020

Safari ya vijana kutaka kutimiza ndoto zao za kazi za ubunifu huwa ngumu sana na kuwalazimu baadhi yao kutafuta watu au mashirika ya kuwashika mkono na kuwasaidia kunoa vipaji vyao. Baadae, baadhi ya mashirika hayo hukatalia haki miliki za kazi. Katika makala hii ya vijana mchakamchaka, tunaangalia suala la haki miliki ya kazi za ubunifu. Bruce Amani na mengi zaidi

https://p.dw.com/p/3j5tR