1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata juu ya sheria ya tozo ya miamala Tanzania

Hawa Bihoga22 Agosti 2022

Baadhi ya wataalamu wa masuala ya kodi na uchumi nchini Tanzania wanasema serikali haikufanyia utafiti wa kutosha sheria ya tozo ya miamala ya kielektroniki ya mwaka 2022, na kwamba inakwenda kinyume na kanuni za kimataifa katika masuala ya kodi. Kiini cha mjadala kwenye tozo hiyo ni nini? Sikiliza mahojiano kati ya Hawa Bihoga na mchambuzi wa masuala ya uchumi Walter Ngumo.

https://p.dw.com/p/4FsYk