1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni unavyolindwa Sudan Kusini

Saumu Ramadhani Yusuf9 Oktoba 2015

Licha ya kuonekana kuwa taifa jipya kabisa barani, Afrika la Sudan Kusini ina sifa ya kuwa kongwe kihistoria na utamaduni wake unarejea kwenye karne kwa karne nyuma, kabla ya hata mataifa mengine kwenye eneo hilo hayajafahamika. Saumu Mwasimba anaangalia jitihada za kuudumisha utamaduni huo kwenye taifa hilo ambalo kwa sasa linajaribu kujijenga upya.

https://p.dw.com/p/1Glr3