1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaAfrika

Sanaa ya uchekeshaji inaleta mabadiliko Sudan Kusini

8 Januari 2024

Wanasema kucheka ni dawa. Na hivyo ndivyo wasanii wa uchekeshaji wanavyoamini kwamba kazi yao inasimama kama tiba kwa jamii linapokuja suala la kuibadilisha mitizamo kuhusu matatizo mbalimbali ya kimaisha yanayozikumba jamii zao. Nchini Sudan Kusini wasanii wa uchekeshaji wanaamini sanaa yao sasa inayabadilisha maisha ya wananchi wa taifa hilo. Mtayarishaji wa Makala hii ni Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/4az3s