1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utamaduni na Sanaa: Tamasha la Vitabu Zanzibar

Salma Said/ MMT16 Novemba 2023

Makala hii ya Utamaduni na Sanaa itaangazia tamasha la kwanza la vitabu lililozinduliwa hivi karibuni visiwani Zanzibar. Tamasha hilo ni sehemu ya jitihada za kushajiisha uandikaji na usomaji wa vitabu vya fasihi utamaduni ambao umekuwa ukipungua miongoni mwa wananchi hasa vijana katika nchi zinazoendelea. Salma Said ndiye mtayarishaji makala hiyo.

https://p.dw.com/p/4YsV2