1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utafiti: Watanzania wameathirika na imani za kishirikina

Florence Majani23 Septemba 2022

Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam nchini Tanzania kimefanya utafiti ili kubaini madhara yatokanayo na imani za kishirikina, lengo likiwa ni kujadili vitendo hivyo na hatua za kuchukua ili kukabiliana navyo. Utafiti wao umebaini kuwa Watanzania wameathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na uwepo wa imani za kishirikina. Sikiliza ripoti ya Florence Majani kutoka Dar es Salaam.

https://p.dw.com/p/4HH2f