1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushirikishwaji wa wahamiaji katika siasa za Ujerumani

Harrison Mwilima/MMT23 Septemba 2021

Katika Makala ya Sura ya Ujerumani leo tunaangazia ushirikishwaji wa wahamiaji katika siasa za Ujerumani. Kwanza kabisa tutakupa taarifa kuhusu baadhi ya wahamiaji walioamua kuchukua uraia wa Kijerumani na kuingia kwenye ulingo wa siasa. Pia tutawaangazia wale wasio na uraia wa Ujerumani wanaoshirikishwa kwa kupiga kura ya ishara. Mwandaaji na msimulizi wako ni Harrison Mwilima.

https://p.dw.com/p/40gsh